Karibu katika blog hii.........Myweddingfashion
Napenda Kuchukua Fursa hii, kumshukuru Mungu, kwa wema wake mkuu kunipa Afya,Uzima,nguvu na Akili timamu katika kufanikisha idea yangu hii, pili Mke wangu mpenzi, Rafiki zangu kuniwezesha katika ushauri kunitia moyo na kuniaminisha kuwa hakuna lisilowezekana chini ya jua.
Blog hii....... ni mwendelezo wa idea/wazo la awali kuwa na gaeti linalohusu mambo ya harusi sendoff kitchen party zikiambatana na picha za matukio ya sherehe hizo. kutokana na mambo kwenda ndivyo sivyo tukaaamua kuwa na blogspot kwanza na gazeti litafuata baadae............
Blog hii ni kwa watu wote wenye nia njema Tz,Africa na Ulimwengu wote.
Blog inapenda kukuhabarisha mambo mbalimbali yanayohusu sherehe ya harusi kabla na baada ya harusi.........
Blog ipo kukusaidia katika kupata maelezo/information ya vitu muhimu kwa sherehe ya harusi yako/sendoff party na kitchen party.
Kupitia blog hii utapata kuwa na MC'z wazuri kwa sherehe yako waandaaji wa Cake, Ukumbi,Wapambaji, Magari, Video na Still Picture.
Blog hii inatumia lugha zote za mawasiliano katika kufanikisha makusudio yake Kiswahili lugha kuu,English French German etc
Wasiliana nasi kupitia namba za simu hizo hapo juu ,E mail facebook,twitter nasi tutakujuza ukitakacho.
Karibu katika Myweddingblogspot.com.............................!!
Thanks.......................
No comments:
Post a Comment