Kabla ya kwenda kuonana na anaekuandalia cake ya harusi yako kuna mambo muhimu kuzingatia;
unaweza tazama aina ya cake mbalimbali kupitia internet,vitabu vya mapishi ,marafiki,mtandao na sherehe mbalimbali uliowahi kupitia kwa ajili ya reference/ili ufanyapo uchaguzi uwe bora.
LADHA /Flavours and Texture
- Hakuna haja ya kuwa na cake nzuri imepambwa vizuri halafu ishindwe kuliwa na wageni waalikwa pamoja na maharusi, cake inatakiwa kuwa nzuri/tamu nje na ndani, ongea/shauriana na muandaaji wa cake yako kuhusu ladha na muonekano wa cake yako kuna ladha mbalimbali za kuchagua ni vile unapenda iweje kutegemea na rangi mliochagua ya harusi yenu au vile nyie mnapenda kama; carrot,fruitcake,vannila,chocolate,strawberry,coconut,lemon,banana,orange,red velt, kwa hizo chache...
- uchaguzi ni wako ipi iwepo kwa sherehe yako au zipi ziwepo kwa sherehe yako
- Unaweza kuchagua size mbalimbali na aina gani ya shape unapenda iwe kutokana na wajuzi wengi wa mambo haya sikuhizi unaweza tengenezewa size na shape yeyote ile we unapenda.
- Ukiwa na design yako pia ni nzuri unamuonyesha tu anaendaa cake yako
PRESERVING THE CAKE/UTUNZAJI WA CAKE
- Baada ya harusi cake nyingi zinaaribika kwa kutokutunza vizuri
- Weka kwa chombo kinachopitisha hewa vizuri
- Usizungushe na foil
- Weka mbali na vitu kama vitunguu......
- Tumia fridge au hata mezani sehemu safi funika na kitu kizuri.
CAKE FOR YOUR WEDDING
Apart from the Bride to Love her wedding day,there is another important things to consider for your day.
before you meet to the one who will prepare your wedding cake,it is important to search for variety of cakes via internet,recipe books,friends ,Networking and various ceremonies for reference.
TASTE ,FLAVOUR &TEXTURE
There is no need to have a beautiful cake,that cannot be eaten by invited guest. cake should be sweet.
Talk to your practitioner on appropriate design of your cake,about the taste,appearance and delicious range of choice is depending on how you want.
This may also depend on the chosen colour of your wedding,here are some of the flavors of the cakes you may like fruit cake,vanilla,chocolate,strawberry,coconut,lemon banana,orange,and redvelt. Its you to decide what are your choices exist for your ceremony,or what to have for your party.
SHAPE&SIZE
There is different size and shape,you can choose what kind of shape you want to be in your wedding because many of these practitioners can make any size and shape you want.
If you prefer to design by yourself its good you tell them before they make it.
PRESERVATION
After wedding many cakes becomes useless cannot be eaten anymore,I advice to preserve the cake carefully.
Keep the container properly where an air can get through
Keep away from things like onions and moisture
Keep on dry surface
Keep it open like on the table but don't put it for a long time to avoid dust
Use fridge to preserve.
No comments:
Post a Comment