Kuna Kipindi unaangalia Hizi Picha unatamani Kama Siku Yako Ijirudie,Kama Kuna Vitu Hukufanya vile Jinsi Watu wanavyopendeza Walivyo creative kwa Siku zao za Harusi. Hili Jambo Muhimu Jipange Linawezekana Kila Mtu ya kwake inakua 'Special' Mungu na akusaidie....Hawa ni harusi Kenya.
Mandhari Ya Party Yenyewe |
Mdada na Mkaka Mmependeza Sana Rangi Nzuri Mmepangilia Picha Vizuri Mungu Bariki Ndoa Hii..
Huyu Jamaa ye Katupia Kizamani ila Hiyo ni Ki-Digital, Imekaa sawasawa...Big Up Kaka
No comments:
Post a Comment