MAY GOD THE ALMIGHTY BE WITH YOUR MARRIAGE.
Fanana sisi chezea !!
Safi Sana Yellow Iliwakilishwa Vizuri
Kwa raha zetu.
Huyu Maids anakushangaa na Kukupongeza Mrs Hope ulivyopendeza Siku Yako
Hili Pozi eti Hope umeniona??
Radhia anawapa somo Maids wake na Matron akiwepo endeleeni kumuomba Mungu siku yenu ipo.